PATA HABARI MUHIMU KUTOKA VISIWA VYA ZIWA VICTORIA PAMOJA NA HABARI ZA MICHEZO ZA KIMATAIFA
Ijumaa, 26 Julai 2013
TOTTENHAM YAKAMILISHA USAJILI WA CHADLI
Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, imekamilisha usajili wa mchezaji kutoka Twente aitwaye Nacer Chadli, mchezaji huyo raia wa Ubeligiji alifunga magoli 12 msimu uliopita akiwa na klabu yake alikotoka. Anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na klabu hiyo ya London baada ya kumsajili kiungo mbrazili Paulinho kwa ada ya uhamisho ya yuro milioni 20.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni